Rais Dkt. Magufuli amesema atahakikisha umoja na maelewano yanaendelezwa na kuiimarisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa ili Zanzibar izidi kupata maendeleo.

STATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE   Chato                                                                          14.01.2021 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli amewahakikishia wananchi wa Zanzibar pamoja na viongozi wake kwamba ataendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuhakikisha umoja na maelewano yaliopo yanaendelezwa sambamba na kuiimarisha Serikali ya Umoja wa Kaitaifa ili